Posted on: July 4th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe. Halima Bulembo ameendelea na ziara yake ya kutambua kero za mtaa kwa mtaa ambapo leo tarehe 14 Juni, 2023 amefika katika mitaa ya Mikenge,Kizito huonjwa na Ngoba...
Posted on: July 5th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mheshimiwa Halima Bulembo amewataka walezi na wazazi kushirikiana na uongozi wa shule katika kuhakikisha watoto wanapata chakula wanapokuwa shuleni ili kuongeza ufaulu.
...
Posted on: July 11th, 2023
Na. Minde Honorata
Mkuu waWilaya ya Kigamboni Mh. Halima Bulembo amewataka wanawake wa wilaya hiyo kuachana na mikopo inayojulikana kama "kausha damu".
Hayo ameyasema leo wakati akijibu mo...