Posted on: October 29th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe.Sara Msafiri amempongeza Mganga Mkuu wa Wilaya na Idara nzima ya afya kwa kufanikisha kuvuka lengo la utoaji wa chanjo ya Surua Rubella na Polio iliyofanyika &...
Posted on: October 15th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe. Sara Msafiri ametaka walengwa wa chanjo ya Surua-Rubella na Polio kufikiwa kwa kupatiwa elimu ya umuhimu wa kupata chanjo hizo ili kuhakikisha lengo lililokusudi...
Posted on: October 6th, 2019
Katika kutekeleza ilani ya chama na kuhakikisha huduma za afya zinakuwa bora kwa kila mwananchi Kituo cha Afya Kimbiji ni miongoni mwa vituo vya afya vilivyopokea fedha kutoka Serikali Kuu kwaajili ya...