Posted on: February 2nd, 2024
Akizungumza wakati wa makabidhiano katibu tawala aliwataka wanafunzi kuwa na nidhamu na kuzingatia masomo kwa kuwa Serikali imefanya uwekezaji Mkubwa wa miundo mbinu katika sekta ya Elimu.
...
Posted on: January 22nd, 2024
Leo Januari 22. 2024 Kamati ya fedha na utawala ikiongozwa na mwenyekiti wake ambaye ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kigamboni Mheshimiwa Ernest Ndamo Mafimbo imefanya ziara ya kutembelea na kuk...
Posted on: January 19th, 2024
Idara ya Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Kigamboni imefanya uchaguzi wa viongozi wa jukwaa la huduma ndogo za kifedha watakao kuwa na jukumu la kusimamia na kuhamasisha vikundi vya huduma za kifedh...