Posted on: June 20th, 2023
Mkuu wa Wilaya kigamboni Mh. Halima Bulembo amemtaka Mkurugenzi Mtendaji kusimamia utekelezaji wa ujenzi wa Dampo la kisasa kuanza mara moja kama ilivyopangwa.
Hayo ameyasema leo Juni 21,2023  ...
Posted on: June 19th, 2023
Mkuu wa wilaya kigamboni Halima Bulembo amewataka wananchi kushiriki shughuli za ulinzi shirikishi ili kutokomeza tatizo la wizi kwa wakazi wa Kigamboni.
Hayo ameyasema leo Juni 20, 2023 alipokua a...
Posted on: June 18th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya kigamboni Mh. Halima Bulembo amewataka wananchi kushiriki katika ujenzi wa miundo mbinu hususani vyumba vya madarasa.
Hayo ameyasema leo Juni 19, alipowasili katika mtaa wa ...