FURSA ZA UWEKEZAJI ZILIZOPO KWENYE MIFUGO NA UVUVI KATIKA MANISPAA
•Uwepo wa eneo kubwa la ukanda wa bahari lenye urefu wa takribani kilomita sitini na tano (65), uwepo wa mialo mingi pamoja na idadi kubwa ya wavuvi, hivyo kutoa fursa kwa uwekezaji katika maeneo yafuatayo:
Ujenzi wa soko la samaki
Ujenzi wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki.
Ujenzi wa bandari za kupokelea samaki (landing sites).
AINA YA MIFUGO NA IDADI YAKE
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa