Majukumu ya Idara
1. Kuandaa michoro ya Mipango miji
2. Kufanya marekebisho ya michoro ya Mipango miji
3. Kupitia vibali vya ujenzi
4. Kusimamia uendelezaji wa ardhi kwa mujibu wa Sheria za ardhi
5. Kutoa elimu na ushauri kwa wananchi juu ya masuala ya Mipango miji
6. Kuandaa barua za toleo(Allocation Letter)
7. Kuandaa Hati milki za viwanja
8. Kuandaa Leseni za Makazi
9. Kukagua maeneo kabla ya kutoa milki
10.Kusikiliza malalamiko yanayohusu masuala ya milki za Ardhi
11.Kutoa vibali vya mauziano ya milki za ardhi.
Kuandaa barua za toleo(Allocation Letter)
Kuandaa Hati milki za viwanja
Kuandaa Leseni za Makazi
Kukagua maeneo kabla ya kutoa milki
Kusikiliza malalamiko yanayohusu masuala ya milki za Ardhi
Kutoa vibali vya mauziano ya milki za ardhi.
Kufufua mipaka ya viwanja vilivyokuwa na migogoro na hata kutoa
ushahidi mahakamani.
Kusimamia na kutoa maelekezo ya Upimaji Ardhi katika Manispaa.
Kukagua na kuwasilisha ramani za Upimaji viwanja vya mradi na
maombi binafsi kwa Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani
Kuonyesha viwanja na mipaka ya barabara zinazosafiishwa katika eneo
la mradi Gezaulole.
Kuandaa na kutengeneza alama za Mipaka. Beacons 10,000 na iron pins
14,000.Kukadiria kodi ya pango la ardhi kwa ajili ya viwanja
Ukadiriaji wa thamani kwa ajili ya kodi ya majengo
Kukadiria thamani kwa ajili ya uhamisho wa milki mbalimbali
Kukadiria thamani kwa ajili ya mikopo
Kuthamini kwa ajili ya fidia maeneo mbalimbali
Kufanya uthamini ( mass valuation) kwa ajili ya kukadiria kodi za majengo
Kushughulikia masuala mbalimbali ya fidia katika eneo la Mradi wa
Upimaji wa Viwanja Gezaulole
Kushughulikia matatizo mbalimbali ya uthamini kwa wananchi
wanaojitokeza kuhitaji huduma hiyo.
Kutekeleza majukumu mengine kwa mujibu wa maagizo ya Mkurugenzi
wa Manispaa.
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa