Kamati ya Kudumu ya Kudhibiti Ukimwi
Majukumu ya Kamati:
1.Kushirikisha wadau tofauti katika maeneo husika ili kuongeza uchangiaji wa mawazo na/au nyenzo, usimamizi, uratibu na utekelezaji wa kazi za Tume za kudhibiti UKIMWI;
2.Kusimamia uundaji wa Kamati zote za kudhibiti
UKIMWI;
3.Kupendekeza na kuchambua hali ya UKIMWI/Mipango na utekelezaji wake na kufikisha katika ngazi husuka kwa hatua zaidi;
4.Kutathmini hali ya UKIMWI katika eneo lake;
(i)Idadi ya waathirika: wagonjwa, yatima, wajane,
(ii)Kasi ya maambukizo.
(iii)Mazingira maalum yanayochangia maambukizo.
(iv)Uelewa wa wananchi juu ya janga hili.
(v)Serikali haitatoa fedha kwa Halmashauri isiyokuwa na mipango madhubuti ya kudhibiti UKIMWI.
(vi)Kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha kila mtoto aliyefikia umri wa kwenda shule anafanya hivyo.
(vii)Kuweka mikakati ya makusudi juu ya njia bora za kuchangia baadhi ya huduma za Elimu na Afya.
(viii)Kubuni na kupendekeza njia bora za kuzuia na kudhibiti magonjwa ya milipuko.
(ix)Kupendekeza Sheria Ndogo za Kamati hii.
WAJUMBE WA KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
|
|||
MHE. AMINI MZURI SAMBO
|
-
|
DIWANI KATA YA KIBADA (NAIBU MEYA)
|
|
MHE. ISAYA CHARLES MWITA
|
-
|
DIWANI KATA YA VIJIBWENI
|
|
MHE. DKT. FAUSTINE NDUGULILE
|
-
|
MBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI
|
|
MHE. STELLAH CHARLES MASANJA
|
|
DIWANI VITI MAALUM
|
|
MHE. ERNEST NDAMO MAFIMBO
|
-
|
DIWANI KATA YA TUNGI
|
|
MHE. MAABAD HOJA (MST. MEYA)
|
-
|
DIWANI KATA YA PEMBEMNAZI
|
|
MHE. LUCY SIMON MAGERELI
|
-
|
MBUNGE VITI MAALUM
|
|
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa