Posted on: May 19th, 2020
“Kwa niaba ya Manispaa ya Kigamboni napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa kutambua mahitaji ya makundi maalumu haswa katika kipindi hiki cha janga la ugonjwa wa Corona, pia natoa wito kwa wa...
Posted on: May 7th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya kigamboni leo ametembelea wafanyabiashara wa maduka ya vyakula na kuwataka kutumia bei elekezi ya uuzaji wa Sukari ya 2700 rejareja kwa kilo na 2600 kwa jumla baada ya kukubali...
Posted on: May 1st, 2020
Afisa Mwandikishaji jimbo la Kigamboni Ndugu Ng'wilabuzu Ludigija amewataka Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Kata, Waandishi wasaidizi pamoja na waendesha mashine za BVR kuzingatia maelekez...