Posted on: June 12th, 2019
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni leo ameungana na wadau wa usafi kampuni ya Green waste na wafanyabiashara wa Kigamboni Feri kuhitimisha juma la Usafi kwa kusafisha mitaro na Barabara.
...
Posted on: June 9th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekabidhi jengo la Ofisi za walimu Katika Shule ya Msingi VIJIBWENI Katika Wilaya ya kigamboni ambapo hapo awali walimu walikosa ofisi kwa ajili ya kufanya...
Posted on: May 31st, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe. Sara Msafiri leo amekutana na kuzungumza na vikundi vya kinamama na vijana kwa lengo la kuwapa elimu na kuwatarifu namna ambavyo vitambulisho vya wafanyabiashara wadog...