Posted on: December 5th, 2023
Picha na matukio yaliyojiri katika sherehe ya kuwapongeza walimu wa shule za Msingi za Serikali na binafsi iliyoandaliwa na Idara ya Elimu Msingi Manispaa ya Kigamboni kwa lengo la kuwapongeza Walimu ...
Posted on: November 22nd, 2023
Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Manispaa ambapo kilishirikisha wajumbe kutoka katika idara na vitengo Mtambuka vinavyounda kamati hiyo ambazo ni Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Maendeleo ya Jamii, E...
Posted on: November 15th, 2023
Waziri wa ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa ameiagiza wakala wa Barabara Tanzania TANROAD kuipitia na kufanya marekebisho sehemu zote za Barabara zilizoathirika na mvua za El nino kutoka Kibada- Mwasonga...