Posted on: June 16th, 2020
Afisa lishe wa Manispaa ya Kigamboni Bi Bertha Mwakabage ameishauri jamii kuwa na utamaduni wa kuandaa lishe ya mtoto tangu akiwa tumboni mwa Mama ili kupambana na tatizo la Udumavu.
...
Posted on: June 9th, 2020
Kamati ya Lishe Manispaa ya Kigamboni iliyoongozwa ndugu Wenceslaus Lindi leo imefanya kikao cha kupitia changamoto mbalimbali za Lishe ambapo imewashauri wazazi na walezi kuhakikisha wato...
Posted on: June 9th, 2020
Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mheshimiwa Selemani Jafo ametoa muda wa miezi 6 kwa Menejimenti ya Manispaa ya Kigamboni kukamilisha nyumba za watumishi (...