Posted on: June 12th, 2020
Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni imepokea vifaa mbalimbali kwaajili ya Hospitali ya Wilaya ikiwemo Vitanda 300, Magodoro 300, mashine za kusaidia kupumulia Oxygen 5, vifaa vya watoto njiti p...
Posted on: June 10th, 2020
Uongozi wa Kigamboni umepongezwa kwa kusimamia vizuri fedha za Serikali na ukusanyaji wa mapato hali iliyopelekea kupata hati safi kwa miaka mitatu mfululizo.
Pongezi hizo zime...
Posted on: June 22nd, 2020
"Naiagiza Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ipime eneo lote la Mbutu na ifuate taratibu na sheria zote za ardhi ili limilikiwe na Serikali pia litengwe kwaajili ya wachimbaji."
Agizo hi...