Posted on: March 19th, 2018
Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni inatarajia kutumia zaidi ya bilioni 5 kwaajili ya ujenzi wa makao makuu ya Manispaa yanayojengwa eneo la Gezaulole.
Akitoa taarifa ya mradi kaimu Mkurugenzi wa ...
Posted on: March 18th, 2018
Uongozi wa Vijana CCM Mkoa wapongeza Halmashauri ya manispaa ya kigamboni kwa kutenga Milioni 240 za mikopo ya vijana zinazolenga kuwainua kiuchumi kwa mwaka wa fedha 2017/2018.
Pongezi hizo zilito...
Posted on: March 13th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mh.Hashim Mgandilwa amewataka wamiliki wa hoteli zilizopo pembezoni mwa fukwe mwa bahari kudumisha ushirikiano baina yao ili kuweza kuwaibua wahalifu wanaojificha kwenye ma...