Posted on: January 23rd, 2019
Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ni miongoni mwa Halmashauri zilizofanikiwa kupokea fedha kutoka Serikali kuu za uboreshaji wa vituo vya afya na huduma za afya kwa ujumla.
Kituo cha afya ...
Posted on: December 6th, 2018
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Mhe. Maabad Suleiman Hoja amekabidhi hundi za mikopo isiyo na riba kwa vikundi 49 vya vijana wajasiliamali kutoka katika kata za Mji mwema, Kibada...