Posted on: July 4th, 2024
Waziri wa Maji Mheshimiwa Juma Aweso ameuagiza uongozi wa Dawasa Wilaya ya Kigamboni kuongeza kasi ya utandazaji wa mabomba ya maji ili wananchi waweze kupata huduma hiyo kwa haraka.
...
Posted on: June 27th, 2024
Mkuu wa Divisheni ya utawala na usimamizi wa rasilimali watu Manispaa ya Kigamboni Bi. Tabia Nzowa amewataka walimu wa shule za Msingi na Sekondari kufuata utaratibu uliowekwa na unaotumika kuwasilish...
Posted on: June 25th, 2024
Leo Juni 25. 2024 Katibu Tawala wa Wilaya ya Kigamboni Bi. Pendo Mahalu ameongoza kikao cha kamati ya maendeleo ya sanaa Wilayani ya Kigamboni kilichofanyika katika Ofisi yake kwa lengo la kujadili ma...