Leo Januari 21. 2025 Menejimenti ya Manispaa ya Kigamboni imefanya kikao cha kupitia utekelezaji wa shughuli mbalimbali zinazofanywa na Manispaa hiyo katika kipindi cha robo ya pili ikiwemo, ujenzi na uboreshaji wa miradi ya maendeleo pamoja na utoaji wa huduma bora kwa Wananchi kupitia Sekta mbalimbali.
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa