Leo Novemba 29. 2024 Vongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, Jamaa, marafiki na Wananchi wamejitokeza kuupokea mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika Dr Faustine E. Ndugile katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere
Dr Faustine Ndugulile alipata umauti akiwa nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu Novemba 27. 2024.
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa