Shule mpya ya Sekondari ya Paul Makonda iliyopo Kata ya Kigamboni imekamilika kwa na kaisi cha Tsh.309,852,638.00 hadiukamilifu wa ujenzi. Shule hii tayari inatumika na imechukua wananfunzi wa kidato cha kwana 98 kwa mwaka 2020.
faida za uwepo wa shule hii
1. imeweesha Kata ya Kigamboni kuwa na Shhule ya Sekondari ya Serikali ambapo hapo awali haikuwepo
2. imesaidia watoto wanaofaulu kujiunga na shule za sekondari kutopangiwa mbali na eneo loa la makazi
3. imeongeza utoajiwa huduma za jamii katika sekta ya Elimu.
jengo la shule ya Paul Makonda Sekondari
wanafunzi wakiwa darasani
picha ya pamoja baadhi ya walimu na wanafunzi
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa