Hatua ya ujenzi wa msingi ukiendelea huku maandalizi ya upandishaji wa kuta za boma yakiwa yamekamilika
Mradi upo katika hatua ya upigaji wa Kenchi, upigaji wa plasta ndani na nje pamoja na ujenzi wa Gebo leo tarehe 24/11/2021
Mradi upo katika hatua ya upauaji huku plasta ikiendelea ndani na nje pia hatua ya uwekaji wa grili imekamilika na ujenzi wa ngazi ukiendelea leo tarehe 29/11/2021
Mradi upo katika ukamilishaji kwa hatua ya ujenzi wa ngazi na kupiga plasta, uwekaji wa dari na uwekaji wa mfumo wa umeme leo tarehe 07/12/2021
Mradi upo katika ukamilishaji kwa hatua ya uwekaji wa simenti nyeupe ndani na nje, ujenzi wa ngazi na kupiga plasta na uwekaji wa fremu za madirisha leo tarehe 07/12/2021
Mradi upo katika ukamilishaji
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa