Ujenzi wa lenta umekamilika mradi upo hatua ya upigajiwa kenchi leo tarehe 22/11/2021
Kozi mbili baada ya tofali zimeshapandishwa na kenchi zimeshaandaliwa leo tarehe 24/11/2021
Mradi upo katika hatua ya mwisho ya upauaji upigaji wa plasta ndani na nje pamoja na umaliziaji wa kazi ya mbao leo tarehe 29/11/2021
Mradi upo katika ukamilishaji wa hatua ya uwekaji wa fremu za milango, uwekaji wa dari, ujenzi wa ngazi na upigaji wa plasta na uwekaji wa fremu za madirisha leo tarehe 07/12/2021
Mradi upo katika ukamilishaji
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa