Mradi upo katika upigaji wa lenta na plasta leo tarehe 22/11/2021
Mradi upo katika hatua ya upauaji, ujenzi wa ngazi huku uwekaji wa grili na upigaji wa plasta ndani na nje ukiwa umekamilika leo tarehe 29/11/2021
Mradi upo katika ukamilishaji hatua ya uwekaji grili za madirisha,uwekaji wa dari na utengenezaji wa sakafu leo tarehe 07/12/2021
mradi upo katika hatua ya ukamilishaji
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa