Upandishaji wa kuta za boma ukiwa umekamilika na upigaji wa lenta umekamilika leo tarehe 21/11/2021
Mradi upo katika hatua ya upandishaji wa kozi 2 baada ya kukamilisha lenta hata hivyo pia maadalizi ya upigaji wa kenchi yameshakamilika leo tarehe 24/11/2021
Mradi upo katika hatua ya upauaji kwa kazi ya mbao ujenzi wa ngazi pamoja na upigaji wa plasta ndani na nje leo tarehe 29/11/2021
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa