Ujenzi wa lenta umekamilika na koz mbili baada ya lenta zimeshakamilika na upigaji wa Kenchi umeanza leo tarehe 23/11/2021
Mradi upo katika ujenzi wa Gebo pia maandalizi ya upigaji wa lenta yameshaanza leo tarehe 24/11/2021
Mradi upo katika hatua ya upauaji kwa kazi ya mbao hatua ya plasta ndani na nje uwekaji wa grili za madirisha ukiwa umeshakamilika leo tarehe 29/11/2021
Mradi upo katika ukamilishaji katika hatua ya uwekaji wa dari,upigaji simenti nyeupe nje na ndani (skimming) na uwekeji wa sakafu leo tarehe 07/12/2021
Mradi upo katika ukamilishaji
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa