Mradi umefikia hatua ya upigaji wa lenta leo tarehe 22/11/2021
Mradi upo katika hatua ya upiagi wa Kenchi pamoja na upiaji wa plasta ndani na nje leo tarehe 24/11/2021
Mradi upo katika hatua ya ukamilishaji wa kazi ya mbao kwaajili ya upauaji huku plasta ndani na nje ikiwa imekamilika pamoja na blandering leo tarehe 20/11/2021
Mradi upo katika ukamilishaji kwa hatua ya uwekaji wa fremu za milango, uwekaji wa magrili ya madirisha, ujenzi wa sakafu na plasta kwenye kuta za ngazi, uwekaji wa simenti nyeupe katika kuta za ndani na nje (skiming) uwekaji wa dari na fremu za madirisha leo tarehe 07/12/2021
mradi upo katika ukamilishaji
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa