• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Ujenzi wa Barabara ya Mikadi Beach

Start Date: 2021-11-26
End Date: 2022-05-22

Barabara ya Mikadi Beach - Shelaton yenye jumla ya urefu wa km 1.65 inajengwa kwa awamu, mpaka sasa awamu tatu zenye jumla ya urefu wa km 1.1 zimekamilika na awamu ya nne yenye jumla ya urefu wa km 0.35 inaendelea. Jumla ya gharama ya mradi kwa awamu zote nne ni Sh. 1,931,668,872.50 na jumla ya fedha iliyotumika mpaka sasa kwa awamu zote nne ni Sh.1,403,123,204.00.

Awamu I ya barabara hii ina urefu wa km 0.5 imejengwa katika mwaka wa fedha 2019/2020, kwa chanzo cha fedha kutoka serikali kuu na gharama zilizotumika ni sh. 669,574,400.00. Awamu II ya barabara hii ina urefu wa km 0.3 imejengwa katika mwaka wa fedha 2020/2021 kwa fedha za Mfuko wa Barabara na gharama zilizotumika ni Sh.377,405,054.00. Awamu III ya barabara hii ina urefu wa km 0.3 imejengwa katika mwaka wa fedha 2021/22, kwa chanzo cha fedha kutoka Mfuko wa Barabara na gharama zilizotumika ni sh. 271,633,250.00.

 

Awamu IV ya ujenzi wa barabara hii ina urefu wa km 0.35 ambayo inajengwa kupitia fedha za Tozo ya nyongeza ya mafuta ya dizeli na petroli, kwa bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22. Mradi huu unajengwa na Mkandarasi Mirogena Investment LTD kwa mkataba Na. AE/092/2021/2022/DSM/W/77 chini ya usimamizi wa ofisi ya TARURA Wilaya ya Kigamboni. Muda wa utekelezaji wa mradi huu ni miezi sita (6), kuanzia tarehe 26/11/2021 na unatarajiwa kukamilika tarehe 26/05/2022. Gharama za mkataba ni Sh. 455,962,710.00, hadi kufikia sasa kiasi cha Sh. 318,965,639.31 kimepokelewa kwa ajili ya utekelezaji. Mpaka sasa fedha zilizotumika ni Sh. 84,510,500.00.

Ujenzi wa mradi una manufaa yafuatayo; Kupunguza foleni ya vyombo vya usafiri katika eneo la Feri – Kigamboni, Kurahisisha usafiri hasa kipindi cha mvua kwa wananchi wanaofuata huduma mbalimbali za Kijamii, Kupunguza uchakavu wa vyombo vya usafiri, na Inasaidia vyombo vya usafiri kufika kwa wepesi na haraka maeneo ya jiji la Dar es Salaam kupitia daraja la Nyerere. Aidha utekelezaji wa mradi huu umenufaisha wakazi wa eneo husika kupitia mamalishe na vijana kupata ajira za muda mfupi.

 

 

Ujenzi awamu ya Tatu.


ujenzi Awamu ya nne


Ujenzi awamu ya nne hadi tarehe 12/05/2022

Matangazo

  • Namba za simu za Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigamboni July 04, 2022
  • Tangazo la kuitwa kazini July 12, 2022
  • Tangazo la nafasi za kazi Manispaa ya Kigamboni February 27, 2023
  • Tangazo la uuzaji wa viwanja Manispaa ya Kigamboni December 08, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Vikundi Manispaa. Ya Kigamboni vyapokea mikopo

    March 22, 2023
  • TANGAZO LA VIWANJA

    March 22, 2023
  • TANGAZO LA VIWANJA

    March 22, 2023
  • DC BULEMBO ASHIRIKI KATIKA USAFI WA MWISHO WA MWEZI

    February 25, 2023
  • Angalia Zote

Video

Tangazo la uuzaji wa viwanja
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa