DC Bulembo ametoa agizo hilo leo Februari 8.2024 wakati wa kikao cha tathmini ya mkataba wa lishe katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2003/2004 kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya kwa lengo la kuweka milakati ya kuboresha hali ya lishe ya Wilaya.
Akizungumza wakati wa kikao hicho DC Bulembo amepiga marufuku biashara ya uuzaji wa vyakula katika maeneo ya shule za Msingi pamoja na Sekondari ili kuepuka magonjwa ya Mlipuko yanayoweza kutokea kutokana na Biashara hiyo
"Lishe ni swala la Mtambuka na ni la Kitaifa wala sio la Mkuu wa Wilaya wala la Mkurugenzi jamii yote inatakiwa itambue na iwajibike." Alisisitiza DC Bulembo.
Akiwasilisha taarifa ya thamani ya Mkataba huo Afisa lishe wa Manispaa ya Kigamboni Bi Henerietha Henry amesema kwa upande wa Manispaa wamaweza kufanya mikutano na wazazi katika shule 35 za Msingi na Sekondari ambapo
wazazi takriban 5000 wameweza kufikiwa na kupatiwa elimu ya lishe kwa Watoto
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa