Wananchi kutoka maeneo mbalimbali wameendelea kufika katika banda la Manispaa ya Kigamboni na kupata elimu ya huduma zinazotolewa na Manispaa pamoja na ujuzi wa matumizi ya teknolojia katika utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za majumbani katika viwanja vya Sabasaba.
Maonesho haya yanatoa fursa ya kujifunza na kuboresha maisha kupitia ubunifu wa kibiashara na matumizi ya kawaida katika familia.
Karibu banda la la Manispaa ya Kigamboni ujifunze
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa