Leo Juni,10, 2024 Diwani wa kata ya Mjimwema Mhe,Omary Ngurangwa amefanya kikao na wananchi mtaa wa Ungindoni kikiwa na lengo la kuwapa mrejesho juu ya utekelezaji wa mradi wa DMDP.
Aidha mhe Ngulangwa alianisha kuwa mpaka sasa mradi huo umefikia hatua ya uthamini huku amibainisha zoezi la uthamini kwa wananchi watakaopitiwa na mradi litaanza mapema wiki hii.
Sambamba na hilo wananchi wa mtaa wa ungindoni wamefurahishwa na taarifa hizo huku wakiahidi kutoa ushirikiano pindi ujenzi utakavyoanza na wamekikiri kuwepo kwa mradi huo kutarahisisha shughuli za maendeleo ndani ya mtaa wao
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa