• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Care Values
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu ya awali na Msingi
      • Kilima mifugo na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Mipango na uratibu
      • Utawala na usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda biashara na Uwekezaji
      • Miundombinu ,Vijijini na Mjini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa jamii na Lishe
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
        • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa ndani
      • Usimamazi wa Manunuzi
      • Maliasili na uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na uhasibu
      • Usimamizi na usafi wa Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Utumishi
    • Huhuma za Kisheria
    • Usafi wa mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Michezo na Sanaa
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Huduma za jamii
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
      • Miradi ya Sasa
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha
    • Hotuba
    • Gazeti la Mtandaoni
    • Vipeperushi
  • Mifumo

Wajumbe wa Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango wapongeza Menejiment kwa usimamizi mzuri wa miradi.

Posted on: January 19th, 2021

Pongezi hizo zimetolewa leo wakati walipokuwa wakifanya ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Manispaa ambapo wamesema Mkurugenzi na Menejimenti wamesimamia vizuri miradi hususani kwa kipindi ambapo Madiwani hawakuwepo .

Mwenyekiti wa kamati Mhe. Ernest Mafimbo (Mstahiki Meya) amesema kuwa katika miradi yote ambayo wamefanikiwa kuitembelea wamekuta ipo kwenye hatua nzuri na mazingira yake yanaleta matumaini hivyo kama madiwani wametambua utendaji kazi wa Mkurugenzi na timu yake.

Aidha wajumbe wa Kamati wameielekeza menejimenti kufanya marekebisho kwa baadhi ya miradi ambayo waliweza kuitolea ushauri ili kuifanya miradi hiyo kuwa na tija kwa jamii na Manispaa kwa ujumla.

Kamati ya Uongozi Fedha na Mipango leo imetembelea Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Kibada kinachojengwa kwa fedha za mapato ya ndani ambapo kwa ujenzi huu wa awali jumla ya miioni 162 zinatarajiwa kutumika, ujenzi wa Soko la kisasa ambalo hadi kukamilika jumla ya Bilioni 6.6 zitatumika, na ujenzi wa Nyumba za viongozi Somangila ambao hadi kukamilika jumla ya Bilioni 2 zinatarajiwa kutumika.

Wataalamu na Wajumbe wa Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango wakitoka kukagua ujenzi wa Soko la Kisasa la Kibada.

Muonekano wa Soko  la Kisasa linalojengwa Kibada.

Wajumbe na Baadhi ya wataalamu wakitoka kukagua ujenzi wa kituo cha Afya Kibada ulioanza na jengo la Wagonjwa wa nje.

Mganga Mkuu wa Manispaa Dkt. Charles Mkombachepa akiongoza ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa kituo cha afya kwa Kamati ya FUM na kutolea ufafanuzi wa ujenzi huo ambao umeanza na jengo la wagonjwa wa nje (OPD)

Wajumbe wa Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango wakitoka kutazama Nyumba ya Mkurugenzi.

Nyumba za Mkuu wa Wilaya na Katibu Tawala.

Kamti ya Fedha Uongozi na Mipangoikipata taarifa fupi ya ujenzi wa Nyumba za Viongozi.

muonekano wa Nyumba za Viongozi 

Muonekano wa nyumba mojamoja .

Matangazo

  • Tangazo la Frem za Biashara, Soko la Kibada February 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi February 24, 2025
  • Tangazo la uteuzi wa wajumbe wa bodi ya Afya March 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi March 12, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AMEWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KIBADA - MWASONGA

    April 25, 2025
  • MANISPAA YA KIGAMBONI IMEPOKEA VITI MWENDO 35 NYENYE THAMANI YA TSH MIL 8

    April 08, 2025
  • MKANDARASI TOKA SUMA JKT ATAKIWA KUANZA MAPEMA MAANDALIZI YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA CHA TUNGI

    April 08, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele amefanya ziara ndani ya Manispaa ya Kigamboni

    March 22, 2025
  • Angalia Zote

Video

Makala maalumu ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Kigamboni
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa