Ndugu. Ludigija ametoa wito huo katika ufunguzi wa mafunzo ya zoezi hilo mapema leo katika Ukumbi wa Manispaa ya Kigamboni ambapo pia ilihusisha timu ya wataalamu kutoka tume.
Uboreshaji wa daftar la wapiga kura utadumu ndani ya Siku 3 kuanzia tarehe 02-04/05/2020 katika Kata zote za Manispaa ikiwa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi October mwaka huu.
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa