"Mnajukumu kubwa sana la kupambana na rushwa katika nchi yetu."
Ni kauli iliyotolewa na Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya Kigamboni Ndugu Emmanuel B. Tarmo wakati akifungua mafunzo ya namna ya kupambana na rushwa yaliyotolewa kwa chama cha SCAUT Wilaya ya Kigamboni kwa lengo la kupunguza vitendo vya rushwa katika ngazi ya shule
Katika mafunzo hayo Ndugu Tarmo amewataka SCAUT kupambana na vitendo vya rushwa kwani vinadumaza maendeleo ya nchi na amewataka kuchukulia vitendo vya rushwa kama swala mtambuka.
Katika mafunzo hayo maada mbalimbali zimejadiliwa ikiwemo sababu za rushwa aina za rushwa na madhara ya rushwa katika jamii uchumi wa nchi yetu kwa ujumla
SCAUT wakipokea mafunzo ya kupambana na rushwa
Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya Kigamboni Ndugu Emmanuel B Tarmo akifungua mafunzo ya kupambana na rushwa
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa