Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Mhe. Faustine Ndugulile amewataka wale wote waliovamia maeneo ya umma na kujimilikisha kuyarejesha kwa Serikali mara moja.
Mh. Ndugulile ametoa agizo hilo leo Septemba 3, 2023 wakati wa Ziara yake ya kusikiliza kero na hoja za wananchi wa mtaa wa kichangani uliopo Kata ya Pemba mnazi baada ya kupokea kero kutoka kwa mmoja wa wananchi wa mtaa wa kichangani aliyesema wanachangamoto ya eneo la kuzikia.
"Maelekezo yangu kwa watendaji wa halmashauri kama mtu alipata eneo kwa udanganyifu, hilo eneo lichukuliwe kwa ajili ya maslahi mapana ya wananchi.
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa