Mwenge wa Uhuru Kigamboni Ukimbizwa kwenye umbali wa 157.3 na kupitia miradi 7 yenye thamani ya Bilion 1.4 iliyopo katika Kata za Vijibweni, Kibada, KisaraweII, Pemba Mnazi, Somangila na Kigamboni .
mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg Sahili Geraruma ameipongeza Wilaya ya Kigamboni kwa kuweza kufanikisha kuridhiwa kwa miradi yote ambayo imekaguliwa na kuwekwa Mawe ya Msingi .
PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI.
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni mhe. Fatma Almasi Nyangassa akipokea mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Ngw'ilabuzu Ludigija tayari kuukimbiza Kigamboni.
Wanakikundi cha Hamasa wakiwa eneo la Mapokezi
Mwenge unakimbizwa kuelekea Mradi wa Kwanza kutembelea kikundi cha Vijana Tamu Milk.
Mkimbiza Mwenge Kitaifa Ndg Sahili Geraruma Akitangaza kuridhishwa na kikundi.
Wanankikundi cha wamama cha Tuinuane wakifurahi kwa kupiga makofi baada ya Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kuridhia Kikundi chao
Nyaraka zikikaguliwa kuhusu kikundi cha Tuinuane.
Mkimbiza Mwenge Kitaifa Akiridhia kikundi cha wamama cha Tuinuane.
Mwenge wa Uhuru ukiwasili kwenye mradi wa Bweni la Wasichana wenye mahitaji Maalumu Shule ya Msingi Chekeni Mwasonga.
Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Bweni la Wasichana Chekeni Mwasonga Viongozi wakifurahi kwa kupiga makofi
Ukaguzi wa Bweni la Wasichana.
Kituo cha Afya Tundwi Songani
Banda la Lishe.
Mkimbiza Mwenge Kitaifa akitangaza kuridhishwa na Mradi.
Viongozi wakishangilia kuwekwa kwa jiwe la Msingi Kituo cha Afya Tundwi Songani.
Kituo cha Afya Kichangani
Muonekano wa majengo mawili pacha
Uwekaji wa Jiwe la Msingi kituo cha Afya Kichangani
Ukaguzi wa Barabara ya Mikadi Beach
Uwekaji Jiwe la Msingi Barabara ya Mikadi beach.
Risala ya Utii ikisomwa na Katibu Tawala Wilaya ya Kigamboni Ndg.James mkumbo
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa