Mwenge wa Uhuru Kigamboni Ukimbizwa kwenye umbali wa 157.3 na kupitia miradi 6 yenye thamani ya Bilion 1.9 iliyopo katika Kata za Vijibweni, Kibada, KisaraweII, Pemba Mnazi, Somangila na Kigamboni .
mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg Sahili Gerurama ameipongeza Wilaya ya Kigamboni kwa kuweza kufanikisha kuridhiwa kwa miradi yote ambayo imekaguliwa na kuwekwa Mawe ya Msingi .
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni mhe. Fatma Almasi Nyangassa akipokea mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Ngw'ilabuzu Ludigija tayari kuukimbiza Kigamboni.
Wanakikundi cha Hamasa wakiwa eneo la Mapokezi
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa