Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mh. Hashim Mgandilwa akiwa na timu yake ya kamati ya Ulinzi na usalama leo ametembelea eneo la mradi wa Avic Town uliopo kata ya Somangila kusikiliza malalamiko ya wanannchi wanaodai kutolipwa stahiki zao tangu mradi huo ulipoanzishwa.
Akiwa ameambatana na diwani wa kata hiyo Mh. Chichi Masanja na Mbunge wa Kigamboni Mh.Dr.Faustine Ndungulile waliwasikiliza wananchi ambapo zoezi la utambuzi linaendelea kuanzia kesho tarehe 04/10-06/10/2017.
kwa wale wanaolalamika kutopewa viwanja wametakiwa kufika ofisi ya Mkuu wa Wilaya siku ya Alhamisi ya tarehe 05/10/2017 wakiwa na nyaraka zao ili kupatiwa viwanja vyao.
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa