Idara ya Kilimo, Ushirika na Umwagiliaji kwa kushirikiana na kituo cha TARI Mikocheni mwishoni mwa wiki wametambulisha mbegu ya mchicha ulioboreshwa katika kituo cha rasilimali kilimo Gezaulole,Utambulisho huo uliongozwa na mgeni rasmi Mhe. Stephano Waryoba ambaye ni Diwani wa Kata ya Somangila.
Aidha wakulima waliweza kupewa elimu ya matumizi mbalimbali ya mbegu za mchicha ambazo hutumika kwa kutengeneza Uji, Keki, Kashata, Bisi na vitu vingine vingi.
picha ya pamoja ya wataalamu baada ya kumaliza mafunzo na utambulisho .
Mtaalmau aliyetoka TARI upande wa kulia akitoa elimu ya matumizi ya mchicha huo.
wakulima na wataalamu wa kilimo wakipata elimu ya zao la mchicha ulioboreshwa,.
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa