Katika kikao hicho Wamanchinga wameomba waboreshewe miundombinu ya barabara, maji umeme pamoja na choo katika Soko la kibada pamoja na eneo la Geza machinga center ili kuwatengenezea mazingira mazuri ya kufanya biashara.
Kwa upande mwingine wenyekiti wa Machinga Wilaya ya Kigamboni Bi Farida Mohamed ameuomba uongozi wa Wilaya ya Kigamboni kurasmisha maoko binafi kwa lengo la kuongeza wigo wa kufanya biashara
Aidha Dc Bulembo alizipokea changamoto za wamachina na kuahidi kuzifanyia kazi pia alitoa muda wa wiki 3 kwa uongozi wa Manispaa ya Kigamboni kushughulikia changamoto za miundombinu katika siko la kibada na Geza center
Pia aliwataka kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuhakikisha Wilaya ya Kigamboni inapata maendeleo kwa haraka
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa