Mheshimiwa Waziri ametoa agizo hilo leo July 04. 2024 katika ziara yake ya kutembelea na kukagua miundombinu ya Maji aliyoifanya katika Wilaya ya Kigamboni ambapo alitembelea Tanki la maji la Kisarawe ii ili kujionea shughuli mbalimbali za utoaji wa huduma hiyo kwa Wananchi Wilayani humo
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa