• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Care Values
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu ya awali na Msingi
      • Kilima mifugo na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Mipango na uratibu
      • Utawala na usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda biashara na Uwekezaji
      • Miundombinu ,Vijijini na Mjini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa jamii na Lishe
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
        • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa ndani
      • Usimamazi wa Manunuzi
      • Maliasili na uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na uhasibu
      • Usimamizi na usafi wa Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Utumishi
    • Huhuma za Kisheria
    • Usafi wa mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Michezo na Sanaa
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Huduma za jamii
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
      • Miradi ya Sasa
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha
    • Hotuba
    • Gazeti la Mtandaoni
    • Vipeperushi
  • Mifumo

BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA KIGAMBONI LAIDHINISHA BAJETI YA TSH BIL57.3

Posted on: February 17th, 2023

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni likiongozwa na Naibu Meya wa Manispaa Mheshimiwa Stephano Waryoba leo tarehe 16/02/2023 limepitisha makadirio ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/2024 yenye jumla ya  kiasi cha Tsh Bil 57.3 ambapo kati ya fedha hizo Tsh bil 13.1 ni makusanyo ya ndani, Tsh bil 31.2 ni fedha kwaajili ya mishahara Tsh mil 823.3 ni ruzuku ya matumizi mengineyo Tsh bil 7 ni ruzuku ya miradi ya Maendeleo kutoka Serikali kuu na Tsh bil 3.2 ni fedha kutoka katika mifuko mbalimbali ya Wafadhili  

Aidha akiainisha vipaumbele Mheshimiwa Naibu Meya amesema kuwa Manispaa ya kigamboni inategemea kukusanya na kutumia kiasi cha Tsh Bil 16 ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya chama cha Mapinduzi CCM na adhima ya Serikali ya kuhakikisha huduma muhimu zinawafikia Wananchi.

Sambamba na hilo pia aliwashirikisha baaddhi ya mafanikio  yaliyopatikana kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2021/2022 ambapo Manispaa iliweza  kujenga Kituo cha Afya cha kibada kutokana na mapato ya ndani, ujenzi wa Machinjio kupitia mapato ya ndani pamoja na ujenzi wa kituo kipya cha A fya Tundwi songani  

Akiongea wakati wa kikao hicho mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kigamboni Mheshimiwa Sikunjema Shabani amesema kuwa bajet ni msingi na ukikoseq kwenye bajeti umekosea mipango yote hivyo Alisisitiza wataalamu kuzingatia vipaumbele muhimu katika kuandaa bajeti

Aidha aliwataka wataalamu kuzingatia maamuzi yanayotolewa na kikao na kuyatekeleza kwa ufanisi kwa lengo la kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi  



Matangazo

  • Tangazo la Frem za Biashara, Soko la Kibada February 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi February 24, 2025
  • Tangazo la uteuzi wa wajumbe wa bodi ya Afya March 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi March 12, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AMEWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KIBADA - MWASONGA

    April 25, 2025
  • MANISPAA YA KIGAMBONI IMEPOKEA VITI MWENDO 35 NYENYE THAMANI YA TSH MIL 8

    April 08, 2025
  • MKANDARASI TOKA SUMA JKT ATAKIWA KUANZA MAPEMA MAANDALIZI YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA CHA TUNGI

    April 08, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele amefanya ziara ndani ya Manispaa ya Kigamboni

    March 22, 2025
  • Angalia Zote

Video

Makala maalumu ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Kigamboni
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa