• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Care Values
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu ya awali na Msingi
      • Kilima mifugo na umwagiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Mipango na uratibu
      • Utawala na usimamizi wa Rasilimali watu
      • Viwanda biashara na Uwekezaji
      • Miundombinu ,Vijijini na Mjini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa jamii na Lishe
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
        • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa ndani
      • Usimamazi wa Manunuzi
      • Maliasili na uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na uhasibu
      • Usimamizi na usafi wa Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Utumishi
    • Huhuma za Kisheria
    • Usafi wa mazingira na udhibiti wa taka ngumu
    • Michezo na Sanaa
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Huduma za jamii
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
      • Miradi ya Sasa
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha
    • Hotuba
    • Gazeti la Mtandaoni
    • Vipeperushi
  • Mifumo

Baraza la Madiwani lapongeza Manispaa kwa kupata hati safi mwaka wa fedha 2016/2017

Posted on: May 4th, 2018

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni limeipongeza Manispaa kwa kupata Hati safi baada ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni Bw.Stephen Katemba kutoa taarifa ya kupokea ripoti kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG )inayoonesha Manispaa kuwa na hati safi kwa mwaka wa fedha 2016/2017.

Pongezi hizo zimetolewa leo kwenye kikao cha Baraza la Madiwani la kawaida la robo ya tatu ya mwaka (Jan-Mach 2018) lililofanyika kwenye ukumbi wa shule ya Sekondari Kisota

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kigamboni Mh.Hoja Maabad amesema kuwa Hati safi imepatikana kutokana na ushirikiano uliopo baina ya Wataalamu wa Manispaa na Madiwani na kwamba ni faraja kwa Manispaa nzima.

"Tumefarijika sana kupata matokeo haya, hati hii safi isingepatikana kama kungekuwepo na kutokuelewana baina ya wataalamu na madiwani, tunajivunia umoja wetu"Alisema Mh.Hoja

Diwani wa Kata ya Kimbiji Mh.Sanya Bunaya amesema kuwa kwa niaba ya Waheshimiwa Madiwani Baraza lina kila sababu ya kuipongeza Manispaa kwa kazi kubwa waliyoifanya kuhakikisha pamoja na upya wake hati safi inapatikana.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni Bw.Stephen Katemba amesema kuwa tafsiri ya matokea haya ni ushirikiano uliopo kati ya watendaji , wasimamizi pamoja na Waheshimiwa Madiwani ndio uliopelekea kupatikana kwa Hati safi.

Ameongeza kuwa kuangalia nidhamu ya matumizi ya fedha za Serikali, kusimamia vizuri miradi ya maendeleo na kuhakikisha kwamba rasilimali watu ambao anawaongoza wapo katika kuhakikisha lengo lililokusudiwa linafikiwa la wananchi kupata huduma zile zilizokusudiwa.

"Tunashukuru tumeweza kufikia malengo yaliyotarajiwa na tunaamini hata katika mwaka wa fedha unaokuja tutaendelea kufanya vizuri" Alisema Mkurugenzi.

Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni imepata hati safi ( Unqualified Report) kwenye sekta zote na miradi ya maendeleo ikiwemo ya Barabara na Maji inayotekelezwa na Manispaa.



Baadhi ya Wataalamu walioshiriki kwenye kikao cha Baraza

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni Bw.Stephen Katemba akitoa taarifa ya kupokea  Hati safi kutoka CAG

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kigamboni Mh.Hoja Maabad akiwapongeza Wataalam na Madiwani  kwa ushirikiano uliopelekea kupatikana kwa Hati safi.

Baadhi ya Waheshimiwa Madiwani wakifatilia taarifa za Kata zinazowasilishwa na madiwani kwa makini

Matangazo

  • Tangazo la Frem za Biashara, Soko la Kibada February 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi February 24, 2025
  • Tangazo la uteuzi wa wajumbe wa bodi ya Afya March 26, 2025
  • Tangazo la kuitwa kazini nafasi ya mwendesha mashine ya Bayometriki na Mwandishi msaidizi March 12, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE. DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AMEWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KIBADA - MWASONGA

    April 25, 2025
  • MANISPAA YA KIGAMBONI IMEPOKEA VITI MWENDO 35 NYENYE THAMANI YA TSH MIL 8

    April 08, 2025
  • MKANDARASI TOKA SUMA JKT ATAKIWA KUANZA MAPEMA MAANDALIZI YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA CHA TUNGI

    April 08, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele amefanya ziara ndani ya Manispaa ya Kigamboni

    March 22, 2025
  • Angalia Zote

Video

Makala maalumu ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Kigamboni
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa