Kata ya kigamboni ipo kaskazini mashariki ya wilya ya Kigamboni, Kata hii nilango kuu la kuinginilia wilaya ya Kigamboni kwani Vivuko vitatu huvusha maelufu ya watu toka Kigamboni kwenda katikati ya mji wa Dar es Salaam na Mjini kwenda Kigamboni.
Kata ya kigamboni iko kaskazini ya wilaya ya Kigamboni inapakana na kata ya Tungii upande wa kusini, magharibi inapakana na bahari ya hindi, Kusini mashariki inapakana na kata ya mjimwema. Kaskazini mashariki na kaskazini magharibi inapakana na Bahari ya hindi.
Utawala
Kata hii ina mitaa mitatu ya Feri ,Kigamboni na Tuamoyo.
Idadi ya Watu
Kata ya Kigamboni in Jumla ya Wakazi 36,506 Wanaume 18,2070 wanawake 18,236
Diwani
Diwani wa kata ya KIGAMBONI anaitwa Mh Doto Doto Msawa.
Shughuli za kiuchumi
Kigamboni nikata yenye idadi kubwa ya watu. Inashughuli nyingi na mbalimbali za kiuchumi, watu wengi wamejiajiri katika shughuli za biashara mbalimbali, Ikichukua eneo kubwa la biashara katika wilaya ya Kigamboni.
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa