Sunday 22nd, December 2024
@mitaa yote
Zoezi la uandikishaji wa wananchi kwenye daftari la kupiga kura kuanzia saaa 2:00 Asubuhi hadi saa 12:00 Jioni
uandikishwaji utafanyika kwenye vituo vyote vilivyoanishwa kwenye mitaa.
WENYE SIFA:
1. Awe Raia wa Tanzania
2. Awe na Umri wa Miaka 18 na kuendelea
3.Awe mkazi wa Mtaa husika
4.Awe na akili timamu hana ugonjwa uliothibitishwa na Daktari
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa