Friday 29th, March 2024
@Daraja la Mwl Nyerere
wananchi wa Wilaya ya Kigamboni wanatangaziwa kushiriki mbio za Mwenge wa Uhuru unaotarajiwa kupokewa Tarehe 13/05/2022 kwenye Daraja la Mwalimu Nyerere Kata ya Vijibweni kuanzia saa 06:00 asubuhi na Kukesha kwenye Viwanja vya Mjimwema Kata ya Mjimwema.
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa