Ofisi na Makao makuu ya Manispaa ya Kigamboni zinajengwa Somangila ambapo fedha kutoka Serikali Kuu kiasi cha Bilion 5.1 Kinatarajiwa kutumika mpaka kukamilika kwa ujenzi huo,ukamilikaji wa ujenzi huu utasaidia ufanisi wa kazi kwa kuwa na ofisi za kutosha zitakazowezesha watumishi kuhudumia wananchi kwa kutoa huduma bora.
Mradi wa ujenzi wa Ofisi hizi unajengwa na wakala wa ujenzi Tanzania TBA.
|
|
|
Muonekano wa majengo kwa nje
|
|
|
|
||
muonekano wa ofisi kwa ndani baada ya kugawa (partition) vyumba vya ofisi
|
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa