Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa, usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 29-30 Septemba, 2017 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
S/N |
KADA |
TAREHE YA USAILI WA MAANDISHI |
MUDA |
UKUMBI |
1
|
MTENDAJI WA MTAA III
|
29.09.2017 |
2:00 Asubuhi
|
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Kivukoni
|
2
|
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II
|
30.09.2017 |
2:00 Asubuhi
|
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Kivukoni
|
3
|
KATIBU MAHSUSI III
|
30.09.2017 |
2:00 Asubuhi
|
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Kivukoni
|
4
|
MSAIDIZI WA HESABU
|
30.09.2017 |
2:00 Asubuhi
|
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere - Kivukoni
|
******* ORODHA YA MAJINA YA WANAOITWA KWENYE USAILI *******
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa