• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI
HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Livestock na Fisheries
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondary
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Utumishi na Utawala
      • Maji
      • Mipango Mija na Maendeleo ya Ardhi
      • Afya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba za Vikao
      • Vikao vya Waheshimiwa
      • Kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi ya Sasa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba Mbalimbali
    • Picha

Mradi wa Uchechemuzi wa haki ya afya salama ya uzazi kwa vijana wenye ulemavu kutekelezwa Kigamboni

Posted on: April 1st, 2021

Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya jamii Bi. Happy Luteganya leo amewahakikishia ushirikiano mkubwa shirika la lisilo la kiserikali la Building inclusive society lenye lengo la kuhakikisha vijana wenye ulemavu wa Kigamboni wanapata elimu sahihi kuhusu afya ya uzazi salama pamoja na haki na wajibu wao.

Mkuu wa Maendeleo ya jamii  amebainisha hayo alipokua akifungua utambulisho wa mradi huo kwenye ukumbi wa mikutano Ofisi ya Mkuu wa Wilaya unaojulikana kwa jina la “Uchechemuzi wa haki ya afya salama ya uzazi kwa vijana wenye ulemavu”

Happy alisema kuwa kwa niaba ya viongozi  wake , mradi wao umepokelewa na Kigamboni ipo tayari kushirikiana nao ili kuweza kufikia lengo lililokusudiwa.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Utawala wa Shirika hilo  Bw. Wanjara Sulusi amesema kuwa wanashukuru kwa ukarimu na muitikio waliouonesha wanakigamboni  katika kupokea mradi na kwamba, wanatarajia watakapokuja kwa utekelezaji watapata ushirikiano mkubwa  ili kufanikisha lengo la kujenga jamii jumuishi isiyombagua mtu kutokana na ulemavu alionao.

Baadhi ya washiriki waliohudhuria ufunguzi was mradi.



Hilda Kifanga Afisa ustawi wa jamii akitoa mapendekezo ya kuboresha utekelezaji wa mradi

.

Washiriki waliohudhuria ufunguzi wa Mradi


Mkurugenzi wa utawala kwenye shirika Wanjara Sulusi akishukuru kwa mapokezi.


Mkuu wa idara ya Maendeleo ya Jamii Happy Luteganya akizungumza wakati wa ufunguzi.


Viongozi wakifatilia maoni ya kuboresha mradi






Mratibu wa mradi Mussa Joseph akielezea mradi unavyolenga kufanya kazi

Matangazo

  • TANGAZO LA USAFI KWA WAMILIKI WA ARDHI NA MAJENGO MBALIMBALI KIGAMBONI February 15, 2021
  • TANGAZO LA UCHAGUZI WA WAJUMBE WA BODI YA AFYA YA HALMASHAURI NA KAMATI ZA AFYA ZA VITUO MANISPAA YA KIGAMBONI. December 03, 2020
  • TANGAZO LA KAZI BODI YA AJIRA MANISPAA YA KIGAMBONI March 11, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Kigamboni yashukuru Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa kupatiwa magari ya kusafirisha taka

    April 21, 2021
  • Wakulima Kigamboni watakiwa kulima kwa tija ili kuvuka hatua moja kwenda nyingine.

    March 30, 2021
  • kamati ya Kudhibiti UKIMWI imepewa mafunzo ili kujengewa uwezo.

    April 01, 2021
  • Mradi wa Uchechemuzi wa haki ya afya salama ya uzazi kwa vijana wenye ulemavu kutekelezwa Kigamboni

    April 01, 2021
  • Angalia Zote

Video

Makala ya Miradi ya Maendeleo Kigamboni Manispaa
Video zingine

Kurasa za karibu

  • Municipal councilors
  • Kigamboni Municipal History
  • Investment Opportunities
  • Fomu ya Maombi ya Kiwanja
  • Huduma za Afya na Orodha ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni

    Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam

    Simu: +255222928468

    Simu ya Mkononi: +255222928468

    Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa