MKURUGENZI WA MANISPAA YA KIGAMBONI ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WALIOPIMA VIWANJA NDANI YA MIPAKA YA MANISPAA NA KUVITELEKEZA PASIPO KUMILIKISHWA NA KUVIENDELEZA WANATAKIWA KUFIKA KATIKA OFISI ZA MANISPAA YA KIGAMBONI WAKIWA NA NYARAKA ZAO MUHIMU KWA AJILI YA KUMILIKISHWA.
Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa
Gezaulole Kata ya Somangila, Kigamboni
Anuani ya Posta: 36009 Dar es Salaam
Simu: +255222928468
Simu ya Mkononi: +255222928468
Bara pepe: info@kigambonimc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Manispaa ya Kigamboni . Haki zote Zimehifadhiwa