Posted on: September 3rd, 2021
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Amos Makala amewataka wataalamu wa idara ya Ardhi Manispaa ya Kigamboni kuhakikisha wanatatua kero za wananchi kwa juhudi zote ili kuepuka migogoro.
...
Posted on: August 23rd, 2021
Picha za matukio yaliyojiri katika mbio maalumu za mwenge wa uhuru 2021 ambapo jumla ya miradi 7 ilitembelewa, kukaguliwa na kuwekewa jiwe la msingi. Aidha kiongozi wa mbio maalumu za mwenge wa ...
Posted on: August 5th, 2021
“Niwatoe hofu chanjo ni salama, hapa nilipo ninawiki mbili tangu nichanjwe naendelea na shughuli zangu nawashauri kutumia nafasi hii kupata chanjo hususani makundi ainishwa”
Ni kauli ya Mkuu wa Wil...