Posted on: October 3rd, 2023
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Mhe. Faustine Ndugulile amewataka wale wote waliovamia maeneo ya umma na kujimilikisha kuyarejesha kwa Serikali mara moja.
Mh. Ndugulile ametoa agizo hilo leo ...
Posted on: September 26th, 2023
Serikali wilayani Kigamboni imewaagiza watendaji kusimamia kwa weledi uzoaji wa taka ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza kutokana na taka hizo.
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya...
Posted on: September 25th, 2023
Wafanya biashara wa Chakula (Mama na Baba Lishe) kata ya Pemba mnazi Leo Septemba 25,2023 wamemshukuru na kumpongeza Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mhe. Halima Bulembo kwa kutenga mda na kufa...