Posted on: April 5th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mh. Hashim Mgandilwa ameongoza zoezi la upandaji miti ya Mikoko katika fukwe za bahari ya hindi katika mtaa wa Pembacenter kata ya Pembamnazi.
Akiongea katika zoezi hilo...
Posted on: March 27th, 2018
Halmshauri ya Manispaa ya Kigamboni inatarajia kujenga soko la Kisasa katika Kata ya Kibada mtaa wa Kiziza katika mwaka wa fedha 2018/19 litakalogarimu kiasi cha shilingi bilioni 14 hadi kukamilika kw...
Posted on: March 26th, 2018
Kamati ya fedha na utawala ya Manispaa ya Kigamboni ikiongozwa na Mstahiki Meya Mhe.Maabad Suleiman Hojja wamefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa ofisi unaoendelea katika eneo la Gezaulole kata ...